Isaiah 65:13
Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi: 1 “Watumishi wangu watakula, 2 lakini ninyi mtaona njaa; 1 watumishi wangu watakunywa 2 lakini ninyi mtaona kiu; 1 watumishi wangu watafurahi, 2 lakini ninyi mtaona haya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 34:10Wana simba wenye nguvu 2 hutindikiwa na kuona njaa, 1 bali wale wamtafutao Bwana 2 hawatakosa kitu chochote kilicho chema. 1
Proverbs 13:25Mwenye haki hula mpaka akaridhisha moyo wake, 2 bali tumbo la mwovu hutaabika kwa njaa.
Isaiah 41:17“Maskini na wahitaji wanatafuta maji, 2 lakini hayapo, 2 ndimi zao zimekauka kwa kiu. 1 Lakini Mimi Bwana nitawajibu, 2 Mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha. 1
Isaiah 61:7Badala ya aibu yao 2 watu wangu watapokea sehemu maradufu, 1 na badala ya fedheha 2 watafurahia katika urithi wao; 1 hivyo watarithi sehemu maradufu katika nchi yao, 2 nayo furaha ya milele itakuwa yao. 1
Isaiah 66:14Wakati mtakapoona jambo hili, mioyo yenu itashangilia, 2 nanyi mtastawi kama majani; 1 mkono wa Bwana utajulikana kwa watumishi wake, 2 bali ghadhabu yake kali 2 itaonyeshwa kwa adui zake. 1
Malachi 3:18Kwa mara nyingine tena utaona tofauti kati ya wenye haki na waovu, kati ya wale wanaomtumikia Mungu na wale wasiomtumikia.