Isaya 65:16
Yeye aombaye baraka katika nchi 2 atafanya hivyo kwa Mungu wa kweli; 1 yeye aapaye katika nchi 2 ataapa kwa Mungu wa kweli. 1 Kwa kuwa taabu za zamani zitasahaulika 2 na kufichwa kutoka machoni pangu. 1 Mbingu Mpya Na Dunia Mpya 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 10:20Mche Bwana Mungu wako na umtumikie yeye. Shikamana naye kwa uthabiti na kuapa kwa jina lake.
Job 11:16Hakika utaisahau taabu yako, 2 utaikumbuka tu kama maji yaliyokwisha kupita. 1
Psalms 63:11Bali mfalme atafurahi katika Mungu, 2 wale wote waapao kwa jina la Mungu watamsifu, 2 bali vinywa vya waongo vitanyamazishwa.
Psalms 86:15Lakini wewe, Ee Bwana, ni Mungu wa huruma na neema, 2 si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo na uaminifu. 1
Isaiah 19:18Katika siku hiyo miji mitano ya Misri, itazungumza lugha ya Kanaani, na kuapa kumtii Bwana Mwenye Nguvu Zote. Mji mmojawapo utaitwa Mji wa Uharibifu. + 19:18 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua).
Isaiah 45:23Nimeapa kwa nafsi yangu, 2 kinywa changu kimenena katika uadilifu wote 2 neno ambalo halitatanguka: 1 Kila goti litapigwa mbele zangu, 2 kwangu mimi kila ulimi utaapa. 1