The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 11 › Ayubu 11:16

Ayubu 11:16

Hakika utaisahau taabu yako, 2 utaikumbuka tu kama maji yaliyokwisha kupita. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Because thou shalt forget thy misery, and remember it as waters that pass away:

In Context

15ndipo utainua uso wako bila aibu; 2 utasimama imara bila hofu. 1

17Maisha yako yatangʼaa kuliko adhuhuri, 2 nalo giza litakuwa kama alfajiri. 1

Read all of Ayubu 11

Cross References

Genesis 41:51Yosefu akamwita mzaliwa wake wa kwanza Manase, akisema, “Ni kwa sababu Mungu amenifanya nisahau taabu zangu zote pamoja na jamaa yote ya nyumba ya baba yangu.”

Job 22:11ndiyo sababu ni giza sana huwezi kuona, 2 tena ndiyo sababu mafuriko ya maji yamekufunika. 1

Ecclesiastes 5:20Mara chache mtu huzifikiri siku za maisha yake, kwa sababu Mungu humfanya ashikwe na furaha ya moyoni.

Isaiah 54:4“Usiogope, wewe hutaaibika. 2 Usiogope aibu, wewe hutaaibishwa. 1 Wewe utasahau aibu ya ujana wako, 2 wala hutakumbuka tena mashutumu ya ujane wako. 1

Isaiah 65:16Yeye aombaye baraka katika nchi 2 atafanya hivyo kwa Mungu wa kweli; 1 yeye aapaye katika nchi 2 ataapa kwa Mungu wa kweli. 1 Kwa kuwa taabu za zamani zitasahaulika 2 na kufichwa kutoka machoni pangu. 1 Mbingu Mpya Na Dunia Mpya 1

Revelation 7:14Nikamjibu, “Bwana, wewe wajua.” Naye akasema, “Hawa ni wale waliotoka katika ile dhiki kuu, nao wamefua mavazi yao katika damu ya Mwana-Kondoo na kuyafanya meupe kabisa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 11:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 11:15Ayubu 11Ayubu 11:17 →