The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 1 › Isaiah 1:23

Isaiah 1:23

Watawala wenu ni waasi, 2 rafiki wa wevi, 1 wote wanapenda rushwa 2 na kukimbilia hongo. 1 Hawatetei yatima, 2 shauri la mjane haliletwi mbele yao lisikilizwe. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thy princes are rebellious, and companions of thieves: every one loveth gifts, and followeth after rewards: they judge not the fatherless, neither doth the cause of the widow come unto them.

In Context

22Fedha yenu imekuwa takataka, 2 divai yenu nzuri imechanganywa na maji. 1

24Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 Mwenye Nguvu wa Israeli, asema hivi: 1 “Lo, nitapata faraja kutoka kwa adui zangu 2 na kujilipizia kisasi juu ya watesi wangu. 1

Read all of Isaiah 1

Cross References

Exodus 23:8“Usipokee rushwa, kwa kuwa rushwa hupofusha wale waonao, na kupinda maneno ya wenye haki.

Deuteronomy 16:19Msipotoshe haki wala msifanye upendeleo. Msikubali rushwa kwa sababu rushwa hupofusha macho ya wenye busara na kugeuza maneno ya wenye haki.

2 Chronicles 24:17Baada ya kifo cha Yehoyada, wakuu wa Yuda walikuja kumpa mfalme heshima, naye akawasikiliza.

Proverbs 17:23Mtu mwovu hukubali rushwa kwa siri 2 ili kupotosha njia ya haki. 1

Isaiah 1:17jifunzeni kutenda mema! 1 Tafuteni haki, 2 watieni moyo walioonewa. 1 Teteeni shauri la yatima, 2 wateteeni wajane. 1

Isaiah 3:14Bwana anaingia katika hukumu 2 dhidi ya wazee na viongozi wa watu wake: 1 “Ninyi ndio mlioharibu shamba langu la mizabibu, 2 mali zilizonyangʼanywa maskini zimo nyumbani mwenu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 1:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 1:22Isaiah 1Isaiah 1:24 →