Isaiah 65:22
Hawatajenga nyumba, nao watu wengine waishi ndani yake, 2 au kupanda mazao na wengine wale. 1 Kwa kuwa kama zilivyo siku za mti, 2 ndivyo zitakavyokuwa siku za watu wangu, 1 wateule wangu watafurahia kwa siku nyingi 2 kazi za mikono yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Watajenga nyumba na kuishi ndani yake; 2 watapanda mashamba ya mizabibu na kula matunda yake. 1
Cross References
Genesis 5:27Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa.
Psalms 21:4Alikuomba maisha, nawe ukampa, 2 wingi wa siku milele na milele. 1
Psalms 92:12Wenye haki watastawi kama mtende, 2 watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni, 1
Isaiah 65:9Nitawaleta wazao kutoka kwa Yakobo, 2 na kutoka kwa Yuda wale watakaomiliki milima yangu, 1 nao watu wangu wateule watairithi, 2 nako huko wataishi watumishi wangu. 1
Revelation 20:3Akamtupa katika lile Shimo, akamfunga humo na kulitia lakiri, ili kumzuia asiendelee kudanganya mataifa mpaka hiyo miaka 1,000 itimie. Baada ya hayo lazima afunguliwe kwa muda mfupi.