Isaiah 65:9
Nitawaleta wazao kutoka kwa Yakobo, 2 na kutoka kwa Yuda wale watakaomiliki milima yangu, 1 nao watu wangu wateule watairithi, 2 nako huko wataishi watumishi wangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 11:11Katika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi, + 11:11 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini. 1
Isaiah 32:18Watu wangu wataishi katika makao ya mahali pa amani, 2 katika nyumba zilizo salama, 2 katika mahali pa kupumzika pasipo na usumbufu. 1
Isaiah 60:21Ndipo watu wako wote watakuwa waadilifu, 2 nao wataimiliki nchi milele. 1 Wao ni chipukizi nililolipanda, 2 kazi ya mikono yangu, 2 ili kuonyesha utukufu wangu. 1
Isaiah 65:22Hawatajenga nyumba, nao watu wengine waishi ndani yake, 2 au kupanda mazao na wengine wale. 1 Kwa kuwa kama zilivyo siku za mti, 2 ndivyo zitakavyokuwa siku za watu wangu, 1 wateule wangu watafurahia kwa siku nyingi 2 kazi za mikono yao. 1
Jeremiah 33:17Kwa maana hili ndilo asemalo Bwana: ‘Daudi kamwe hatakosa mtu wa kukalia kiti cha enzi cha nyumba ya Israeli,
Ezekiel 36:12Nitawafanya watu, watu wangu Israeli, kutembea juu yenu. Watawamiliki ninyi, nanyi mtakuwa urithi wao, kamwe hamtawaondolea tena watoto wao.