Isaya 65:24
Kabla hawajaita, nitajibu, 2 nao wakiwa katika kunena, nitasikia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 24:15Ikawa kabla hajamaliza kuomba, Rebeka akatokea akiwa na mtungi begani mwake. Alikuwa binti wa Bethueli. Bethueli alikuwa mwana wa Milka aliyekuwa mke wa Nahori ndugu wa Abrahamu.
Psalms 32:5Kisha nilikujulisha dhambi yangu 2 wala sikuficha uovu wangu. 1 Nilisema, “Nitaungama 2 makosa yangu kwa Bwana.” 1 Ndipo uliponisamehe 2 hatia ya dhambi yangu. 1
Psalms 91:15Ataniita, nami nitamjibu; 2 nitakuwa pamoja naye katika taabu, 2 nitamwokoa na kumheshimu. 1
Isaiah 55:6Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana; 2 mwiteni maadamu yu karibu. 1
Daniel 9:20Basi, nilipokuwa bado nikinena na kuomba, nikiungama dhambi yangu na dhambi ya watu wangu Israeli, na nikifanya maombi yangu kwa Bwana Mungu wangu kwa ajili ya mlima wake mtakatifu,
Mark 11:24Kwa sababu hiyo nawaambia, yoyote mtakayoyaomba mkisali, aminini ya kwamba mmeyapokea, nayo yatakuwa yenu.