Isaya 66:23
Kutoka Mwezi Mpya hata mwingine, na kutoka Sabato hadi nyingine, wanadamu wote watakuja na kusujudu mbele zangu,” asema Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 4:23Mume wake akamuuliza, “Kwa nini uende kwake leo? Leo si mwandamo wa mwezi, wala si Sabato.” Mwanamke akasema, “Yote ni sawa.”
Psalms 65:2Ewe usikiaye maombi, 2 kwako wewe watu wote watakuja. 1
Psalms 81:3Pigeni baragumu za pembe za kondoo dume 2 wakati wa Mwandamo wa Mwezi, 1 na wakati wa mwezi mpevu, 2 katika siku ya Sikukuu yetu; 1
Isaiah 1:13Acheni kuniletea sadaka zisizokuwa na maana! 2 Uvumba wenu ni chukizo kwangu. 1 Miandamo ya Mwezi, Sabato na makusanyiko ya ibada: 2 siwezi kuvumilia makusanyiko yenu maovu. 1
Isaiah 19:21Hivyo Bwana atajijulisha mwenyewe kwa Wamisri, nao katika siku hiyo watamkubali Bwana. Wataabudu kwa kumtolea dhabihu na sadaka za nafaka, watamwekea Bwana nadhiri na kuzitimiza.
Ezekiel 46:6Siku ya mwezi mwandamo atatoa fahali mchanga, wana-kondoo sita na kondoo dume, wote wasiwe na dosari.