Isaiah 19:21
Hivyo Bwana atajijulisha mwenyewe kwa Wamisri, nao katika siku hiyo watamkubali Bwana. Wataabudu kwa kumtolea dhabihu na sadaka za nafaka, watamwekea Bwana nadhiri na kuzitimiza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 17:46Siku hii leo Bwana atakutia mkononi mwangu, nami nitakupiga na kukukata kichwa chako. Leo nitawapa ndege wa angani na wanyama wa nchi mizoga ya jeshi la Wafilisti, nayo dunia yote itajua kuwa yuko Mungu katika Israeli.
Psalms 67:2ili njia zako zijulikane duniani, 2 wokovu wako katikati ya mataifa yote. 1
Psalms 98:2Bwana ameufanya wokovu wake ujulikane 2 na amedhihirisha haki yake kwa mataifa. 1
Isaiah 11:9Hawatadhuru wala kuharibu 2 juu ya mlima wangu mtakatifu wote, 1 kwa kuwa dunia itajawa na kumjua Bwana 2 kama maji yajazavyo bahari.
Isaiah 44:5Mmoja atasema, ‘Mimi ni wa Bwana’; 2 mwingine atajiita kwa jina la Yakobo; 1 vilevile mwingine ataandika juu ya mkono wake, ‘Wa Bwana,’ 2 na kujiita kwa jina la Israeli. 1 Ni Bwana, Siyo Sanamu 1
Isaiah 56:7hawa nitawaleta kwenye mlima wangu mtakatifu 2 na kuwapa furaha ndani ya nyumba yangu ya sala. 1 Sadaka zao za kuteketeza na dhabihu zao 2 zitakubalika juu ya madhabahu yangu; 1 kwa maana nyumba yangu itaitwa 2 nyumba ya sala kwa mataifa yote.” 1