The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 66 › Isaya 66:7

Isaya 66:7

“Kabla hajasikia utungu, alizaa; 2 kabla hajapata maumivu, 2 alizaa mtoto mwanaume. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Before she travailed, she brought forth; before her pain came, she was delivered of a man child.

In Context

6Sikieni hizo ghasia kutoka mjini, 2 sikieni hizo kelele kutoka hekaluni! 1 Ni sauti ya Bwana ikiwalipa adui zake 2 yote wanayostahili. 1

8Ni nani amepata kusikia jambo kama hili? 2 Ni nani amepata kuona mambo kama haya? 1 Je, nchi yaweza kuzaliwa kwa siku moja, 2 au taifa laweza kutokea mara? 1 Mara Sayuni alipoona utungu, 2 alizaa watoto wake. 1

Read all of Isaya 66

Cross References

Isaiah 54:1“Imba, ewe mwanamke tasa, 2 wewe ambaye kamwe hukuzaa mtoto; 1 paza sauti kwa kuimba, piga kelele kwa furaha, 2 wewe ambaye kamwe hukupata utungu; 1 kwa sababu watoto wa mwanamke aliyeachwa ukiwa ni wengi 2 kuliko wa mwanamke mwenye mume,” 4 asema Bwana. 1

Revelation 12:1Kukaonekana ishara kuu mbinguni: Palikuwa na mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi ukiwa chini ya miguu yake, na taji ya nyota kumi na mbili ilikuwa kichwani mwake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 66:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 66:6Isaya 66Isaya 66:8 →