Isaya 66:6
Sikieni hizo ghasia kutoka mjini, 2 sikieni hizo kelele kutoka hekaluni! 1 Ni sauti ya Bwana ikiwalipa adui zake 2 yote wanayostahili. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7“Kabla hajasikia utungu, alizaa; 2 kabla hajapata maumivu, 2 alizaa mtoto mwanaume. 1
Cross References
Isaiah 26:21Tazama, Bwana anakuja kutoka makao yake 2 ili kuwaadhibu watu wa dunia kwa ajili ya dhambi zao. 1 Dunia itadhihirisha umwagaji damu juu yake, 2 wala haitaendelea kuwaficha watu wake waliouawa.
Isaiah 59:18Kulingana na kile walichokuwa wametenda, 2 ndivyo atakavyolipa 1 ghadhabu kwa watesi wake 2 na kisasi kwa adui zake, 2 atavilipa visiwa sawa na wanavyostahili. 1
Joel 3:7“Tazama nitawaamsha kutoka zile sehemu mlizowauza, nami nitawalipiza juu ya vichwa vyenu kile mlichofanya.