The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 66 › Isaya 66:9

Isaya 66:9

Je, nilete mwana hadi wakati wa kuzaliwa 2 na nisizalishe?” asema Bwana. 1 “Je, nifunge tumbo la uzazi 2 wakati mimi ndiye nizalishaye?” 2 asema Mungu wako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Shall I bring to the birth, and not cause to bring forth? saith the LORD: shall I cause to bring forth, and shut the womb? saith thy God.

In Context

8Ni nani amepata kusikia jambo kama hili? 2 Ni nani amepata kuona mambo kama haya? 1 Je, nchi yaweza kuzaliwa kwa siku moja, 2 au taifa laweza kutokea mara? 1 Mara Sayuni alipoona utungu, 2 alizaa watoto wake. 1

10“Shangilieni pamoja na Yerusalemu na mfurahi kwa ajili yake, 2 ninyi nyote mnaompenda, 1 shangilieni kwa nguvu pamoja naye, 2 ninyi nyote mnaoomboleza juu yake. 1

Read all of Isaya 66

Cross References

Genesis 18:14Je, kuna jambo lolote gumu lisilowezekana kwa Bwana? Nitakurudia mwakani majira kama haya, naye Sara atakuwa na mwana.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 66:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 66:8Isaya 66Isaya 66:10 →