Isaiah 5:17
Kondoo watajilisha kwenye malisho yao wenyewe, 2 wana-kondoo watajilisha katika magofu ya matajiri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Ole wao wanaovuta dhambi kwa kamba za udanganyifu 2 na uovu kama kwa kamba za mkokoteni, 1
Cross References
Deuteronomy 32:15Yeshuruni + 32:15 Yeshuruni maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli (ona pia Kum 33:26; Isa 44:2 ). alinenepa na kupiga teke; 2 alikuwa na chakula tele, 2 akawa mzito na akapendeza sana. 1 Akamwacha Mungu aliyemuumba, 2 na kumkataa Mwamba Mwokozi wake. 1
Psalms 17:10Huifunga mioyo yao iliyo migumu, 2 vinywa vyao hunena kwa majivuno. 1
Psalms 73:7Uovu hutoka katika mioyo yao iliyokufa ganzi, 2 majivuno maovu kutoka mioyoni mwao hauna kikomo. 1
Isaiah 1:7Nchi yenu imekuwa ukiwa, 2 miji yenu imeteketezwa kwa moto; 1 nchi yenu imeachwa tupu na wageni 2 mbele ya macho yenu, 2 imeharibiwa kama vile imepinduliwa na wageni. 1
Isaiah 7:25Kuhusu vilima vyote vilivyokuwa vikilimwa kwa jembe, hamtakwenda huko tena kwa ajili ya hofu ya michongoma na miiba. Patakuwa mahali ambapo ngʼombe wataachiwa huru, na kondoo kukimbia kimbia.
Isaiah 17:2Miji ya Aroeri itaachwa 2 na itaachiwa mifugo ambayo italala huko, 2 bila yeyote wa kuyaogopesha. 1