The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 7 › Isaiah 7:8

Isaiah 7:8

kwa kuwa kichwa cha Aramu ni Dameski, 2 na kichwa cha Dameski ni Resini peke yake. 1 Katika muda wa miaka sitini na mitano, 2 Efraimu atakuwa ameharibiwa 2 kiasi kwamba hataweza tena kuwa taifa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the head of Syria is Damascus, and the head of Damascus is Rezin; and within threescore and five years shall Ephraim be broken, that it be not a people.

In Context

7Lakini Bwana Mwenyezi asema hivi: 1 “ ‘Jambo hili halitatendeka, 2 halitatokea, 1

9Kichwa cha Efraimu ni Samaria, 2 na kichwa cha Samaria 2 ni mwana wa Remalia peke yake. 1 Kama hamtasimama thabiti katika imani yenu, 2 hamtaimarika kamwe.’ ”

Read all of Isaiah 7

Cross References

Genesis 14:15Wakati wa usiku Abramu aliwagawa watu wake katika vikosi ili awashambulie, na akawafuatilia, akawafukuza hadi Hoba, kaskazini ya Dameski.

2 Kings 17:5Mfalme wa Ashuru akaishambulia nchi yote, akapigana dhidi ya Samaria na kuizunguka kwa majeshi miaka mitatu.

Ezra 4:2wakamjia Zerubabeli na viongozi wa jamaa, nao wakasema, “Turuhusuni tuwasaidie kujenga, kwa sababu sisi tunamtafuta Mungu wenu kama ninyi na tumekuwa tukimtolea dhabihu tangu wakati wa Esar-Hadoni mfalme wa Ashuru, aliyetuleta hapa.”

Isaiah 17:1Neno kuhusu Dameski: 1 “Tazama, Dameski haitakuwa tena mji 2 bali itakuwa lundo la magofu. 1

Hosea 1:6Gomeri akachukua tena mimba akamzaa binti. Kisha Bwana akamwambia Hosea, “Mwite Lo-Ruhama, + 1:6 Lo-Ruhama maana yake Sio mpenzi wangu. kwa maana sitaonyesha tena upendo kwa nyumba ya Israeli, kwamba nisije kabisa nikawasamehe.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 7:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 7:7Isaiah 7Isaiah 7:9 →