Isaiah 7:7
Lakini Bwana Mwenyezi asema hivi: 1 “ ‘Jambo hili halitatendeka, 2 halitatokea, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thus saith the Lord GOD, It shall not stand, neither shall it come to pass.
In Context
Cross References
Psalms 33:11Lakini mipango ya Bwana inasimama imara milele, 2 makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote. 1
Proverbs 21:30Hakuna hekima, wala akili, wala mpango 2 unaoweza kufaulu dhidi ya Bwana. 1
Isaiah 10:6Ninamtuma dhidi ya taifa lisilomjua Mungu, 2 ninamtuma dhidi ya taifa linalonikasirisha, 1 kukamata mateka na kunyakua nyara, 2 pia kuwakanyaga chini kama matope ya barabarani. 1
Isaiah 46:10Ni mimi nitangazaye mwisho tangu mwanzo, 2 naam, tangu zamani za kale, 2 mambo ambayo hayajatendeka. 1 Ninasema: Kusudi langu ndilo litakalosimama, 2 nami nitatenda mapenzi yangu yote. 1
Daniel 4:35Mataifa yote ya dunia 2 yanahesabiwa kuwa si kitu. 1 Hufanya kama atakavyo 2 kwa majeshi ya mbinguni, 2 na kwa mataifa ya dunia. 1 Hakuna anayeweza kuuzuia mkono wake 2 au kumwambia, “Umefanya nini wewe?”