Psalms 21:12
kwa kuwa utawafanya wakimbie 2 utakapowalenga usoni pao 2 kwa mshale kutoka kwenye upinde wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Ingawa watapanga mabaya dhidi yako 2 na kutunga hila, hawawezi kufanikiwa, 1
13Ee Bwana, utukuzwe katika nguvu zako, 2 tutaimba na kusifu nguvu zako.
Cross References
Job 16:12Mambo yote yalikuwa mazuri, lakini alinivunjavunja; 2 amenikamata shingo na kuniponda. 2 Amenifanya mimi kuwa shabaha yake; 1
Psalms 9:3Adui zangu wamerudi nyuma, 2 wamejikwaa na kuangamia mbele zako. 1
Psalms 18:40Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia, 2 nami nikawaangamiza adui zangu. 1
Psalms 56:9Ndipo adui zangu watarudi nyuma 2 ninapoita msaada. 1 Kwa hili nitajua kwamba Mungu 2 yuko upande wangu. 1
Isaiah 8:10Wekeni mikakati yenu, lakini itashindwa; 2 fanyeni mipango yenu, lakini haitafanikiwa, 1 kwa maana Mungu yu pamoja nasi. + 8:10 Kiebrania ni Imanueli. 1 Mwogope Mungu