Isaya 8:11
Bwana alisema nami mkono wake wenye nguvu ukiwa juu yangu, akinionya nisifuate njia za taifa hili. Akasema: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 32:8Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; 2 nitakushauri na kukuangalia. 1
Jeremiah 15:19Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kama ukitubu, nitakurejeza 2 ili uweze kunitumikia; 1 kama ukinena maneno yenye maana, 2 wala si ya upuzi, 2 utakuwa mnenaji wangu. 1 Watu hawa ndio watakaokugeukia, 2 wala si wewe utakayewageukia wao. 1
Jeremiah 20:9Lakini kama nikisema, “Sitamtaja 2 wala kusema tena kwa jina lake,” 1 neno lake linawaka ndani ya moyo wangu kama moto, 2 moto uliofungwa ndani ya mifupa yangu. 1 Nimechoka sana kwa kulizuia ndani mwangu; 2 kweli, siwezi kujizuia. 1
Ezekiel 2:8Lakini wewe mwanadamu, sikiliza ninalokuambia. Usiwe mwenye kuasi kama hiyo nyumba ya kuasi. Fungua kinywa chako na ule nikupacho.”
Acts 4:20Lakini sisi hatuwezi kuacha kusema yale tuliyoyaona na kuyasikia.”