Isaiah 8:22
Kisha wataangalia duniani na kuona tu dhiki na giza, hofu na huzuni tupu, nao watasukumiwa kwenye giza nene kabisa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 10:21Kisha Bwana akamwambia Mose, “Nyoosha mkono wako kuelekea angani ili giza litande katika nchi ya Misri, giza ambalo watu wanaweza kulipapasa na kulihisi.”
2 Chronicles 15:5Katika siku hizo hapakuwa na amani kwa yeyote aliyesafiri, kutoka wala kuingia, kwa kuwa wakazi wote wa nchi walikuwa katika machafuko makubwa.
Proverbs 14:32Waovu huangamizwa kwa matendo yao maovu, 2 bali hata katika kifo wenye haki hupata kimbilio. 1
Isaiah 8:20Kwa sheria na kwa ushuhuda! Kama hawatasema sawasawa na neno hili, hawana mwanga wa mapambazuko.
Isaiah 50:3Ninalivika anga weusi na kufanya nguo ya gunia 2 kuwa kifuniko chake.” 1
Jeremiah 13:16Mpeni utukufu Bwana Mungu wenu, 2 kabla hajaleta giza, 1 kabla miguu yenu haijajikwaa 2 juu ya vilima vitakavyotiwa giza. 1 Mlitarajia nuru, 2 lakini ataifanya kuwa giza nene 2 na kuibadili kuwa huzuni kubwa. 1