Jeremiah 13:16
Mpeni utukufu Bwana Mungu wenu, 2 kabla hajaleta giza, 1 kabla miguu yenu haijajikwaa 2 juu ya vilima vitakavyotiwa giza. 1 Mlitarajia nuru, 2 lakini ataifanya kuwa giza nene 2 na kuibadili kuwa huzuni kubwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Sikieni na mzingatie, 2 msiwe na kiburi, 2 kwa kuwa Bwana amenena. 1
Cross References
Joshua 7:19Ndipo Yoshua akamwambia Akani, “Mwanangu, mtukuze Bwana, Mungu wa Israeli, nawe ukiri kwake. Niambie ni nini ulichotenda; usinifiche.”
Psalms 29:2Mpeni Bwana utukufu unaostahili jina lake; 2 mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake. 1
Psalms 96:7Mpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa, 2 mpeni Bwana utukufu na nguvu. 1
Ecclesiastes 11:8Hata kama mtu ataishi miaka mingi kiasi gani, 2 na aifurahie yote. 1 Lakini na akumbuke siku za giza, 2 kwa maana zitakuwa nyingi. 2 Kila kitu kitakachokuja ni ubatili. 1
Isaiah 5:30Katika siku ile watanguruma juu yake 2 kama ngurumo za bahari. 1 Kama mtu akiitazama nchi, 2 ataona giza na dhiki; 2 hata nuru itatiwa giza kwa mawingu.
Isaiah 59:9Hivyo uadilifu uko mbali nasi, 2 nayo haki haitufikii. 1 Tunatazamia nuru, kumbe! Yote ni giza, 2 tunatazamia mwanga, lakini tunatembea katika giza kuu. 1