Isaiah 8:4
Kabla mtoto hajaweza kusema ‘Baba yangu’ au ‘Mama yangu,’ utajiri wa Dameski na nyara za Samaria zitachukuliwa na mfalme wa Ashuru.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 1:39Wale watoto ambao mliwasema wangelichukuliwa mateka, yaani watoto wenu ambao bado hawajui jema na baya, wataingia katika nchi. Nitawapa hiyo nchi, nao wataimiliki.
2 Kings 16:9Mfalme wa Ashuru akamwitikia kwa kushambulia Dameski na kuiteka. Akawahamishia wenyeji wake huko Kiri, na kumuua Resini.
2 Kings 17:5Mfalme wa Ashuru akaishambulia nchi yote, akapigana dhidi ya Samaria na kuizunguka kwa majeshi miaka mitatu.
Isaiah 7:8kwa kuwa kichwa cha Aramu ni Dameski, 2 na kichwa cha Dameski ni Resini peke yake. 1 Katika muda wa miaka sitini na mitano, 2 Efraimu atakuwa ameharibiwa 2 kiasi kwamba hataweza tena kuwa taifa. 1
Isaiah 7:16Lakini kabla mtoto hajajua kukataa mabaya na kuchagua mema, nchi ya wafalme hao wawili unaowaogopa itafanywa ukiwa.
Isaiah 17:1Neno kuhusu Dameski: 1 “Tazama, Dameski haitakuwa tena mji 2 bali itakuwa lundo la magofu. 1