Isaiah 7:16
Lakini kabla mtoto hajajua kukataa mabaya na kuchagua mema, nchi ya wafalme hao wawili unaowaogopa itafanywa ukiwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Atakula jibini na asali atakapokuwa ameweza kukataa mabaya na kuchagua mema.
Cross References
2 Kings 15:29Wakati wa utawala wa Peka mfalme wa Israeli, Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru alikuja na kuteka Iyoni, Abel-Beth-Maaka, Yanoa, Kedeshi na Hazori. Akateka miji ya Gileadi na Galilaya, pamoja na nchi yote ya Naftali, na kuwahamishia watu wote Ashuru.
2 Kings 16:9Mfalme wa Ashuru akamwitikia kwa kushambulia Dameski na kuiteka. Akawahamishia wenyeji wake huko Kiri, na kumuua Resini.
Isaiah 9:11Lakini Bwana amemtia nguvu adui wa Resini dhidi yao 2 na kuchochea watesi wao. 1
Hosea 5:9Efraimu ataachwa ukiwa 2 katika siku ya kuadhibiwa. 1 Miongoni mwa makabila ya Israeli 2 ninatangaza lile ambalo halina budi kutukia. 1
Jonah 4:11Lakini Ninawi ina zaidi ya watu 120,000 ambao hawawezi kupambanua kulia au kushoto, pamoja na ngʼombe wengi. Je, hainipasi kufikiri juu ya mji ule mkubwa?”