Isaiah 9:21
Manase atamla Efraimu, 2 naye Efraimu atamla Manase; 2 nao pamoja watakuwa kinyume na Yuda. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 7:2Bwana akamwambia Gideoni, “Jeshi lililo pamoja nawe ni kubwa sana kwa mimi kuwatia Wamidiani mikononi mwao. Ili kwamba Israeli asije akajisifu juu yangu akisema, ‘Mkono wangu ndio ulioniokoa,
2 Kings 15:30Kisha Hoshea mwana wa Ela akafanya shauri baya dhidi ya Peka mwana wa Remalia. Akamshambulia na kumuua, kisha akaingia mahali pake kuwa mfalme katika mwaka wa ishirini wa Yothamu mwana wa Uzia.
Isaiah 5:25Kwa hiyo hasira ya Bwana inawaka dhidi ya watu wake, 2 mkono wake umeinuliwa na anawapiga. 1 Milima inatetemeka, 2 maiti ni kama takataka kwenye barabara. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1
Isaiah 9:17Kwa hiyo Bwana hatawafurahia vijana, 2 wala hatawahurumia yatima na wajane, 1 kwa kuwa kila mmoja wao hamchi Mungu, nao ni waovu, 2 na kila kinywa kinanena upotovu. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1
Isaiah 11:13Wivu wa Efraimu utatoweka, 2 na adui wa Yuda watakatiliwa mbali; 1 Efraimu hatamwonea Yuda wivu, 2 wala Yuda hatakuwa na uadui na Efraimu. 1
Matthew 24:10Wakati huo, wengi wataacha imani yao, nao watasalitiana kila mmoja na mwenzake na kuchukiana.