The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 9 › Isaya 9:11

Isaya 9:11

Lakini Bwana amemtia nguvu adui wa Resini dhidi yao 2 na kuchochea watesi wao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore the LORD shall set up the adversaries of Rezin against him, and join his enemies together;

In Context

10“Matofali yameanguka chini, 2 lakini tutajenga tena kwa mawe yaliyochongwa, 1 mitini imeangushwa, 2 lakini tutapanda mierezi badala yake.” 1

12Waashuru kutoka upande wa mashariki 2 na Wafilisti kutoka upande wa magharibi 2 wameila Israeli kwa kinywa kilichopanuliwa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1

Read all of Isaya 9

Cross References

2 Kings 15:29Wakati wa utawala wa Peka mfalme wa Israeli, Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru alikuja na kuteka Iyoni, Abel-Beth-Maaka, Yanoa, Kedeshi na Hazori. Akateka miji ya Gileadi na Galilaya, pamoja na nchi yote ya Naftali, na kuwahamishia watu wote Ashuru.

Isaiah 5:25Kwa hiyo hasira ya Bwana inawaka dhidi ya watu wake, 2 mkono wake umeinuliwa na anawapiga. 1 Milima inatetemeka, 2 maiti ni kama takataka kwenye barabara. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1

Isaiah 8:4Kabla mtoto hajaweza kusema ‘Baba yangu’ au ‘Mama yangu,’ utajiri wa Dameski na nyara za Samaria zitachukuliwa na mfalme wa Ashuru.”

Isaiah 10:9Je, Kalno hakutendwa kama Karkemishi? 2 Hamathi si kama Arpadi, 2 nayo Samaria si kama Dameski? 1

Isaiah 28:1Ole kwa lile taji la maua, kiburi cha walevi wa Efraimu, 2 kwa ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake, 1 uliowekwa kwenye kichwa cha bonde lenye rutuba: 2 kwa ule mji, kiburi cha wale walioshushwa na mvinyo! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 9:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 9:10Isaya 9Isaya 9:12 →