The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 9 › Isaya 9:17

Isaya 9:17

Kwa hiyo Bwana hatawafurahia vijana, 2 wala hatawahurumia yatima na wajane, 1 kwa kuwa kila mmoja wao hamchi Mungu, nao ni waovu, 2 na kila kinywa kinanena upotovu. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore the Lord shall have no joy in their young men, neither shall have mercy on their fatherless and widows: for every one is an hypocrite and an evildoer, and every mouth speaketh folly. For all this his anger is not turned away, but his hand is stretched out still.

In Context

16Wale wanaowaongoza watu hawa wanawapotosha, 2 nao wale wanaoongozwa wamepotoka. 1

18Hakika uovu huwaka kama moto; 2 huteketeza michongoma na miiba, 1 huwasha moto vichaka vya msituni, 2 hujiviringisha kuelekea juu kama nguzo ya moshi. 1

Read all of Isaya 9

Cross References

Job 15:34Kwa kuwa jamii ya wasiomcha Mungu watakuwa tasa, 2 nao moto utateketeza hema za wale wanaopenda rushwa. 1

Isaiah 1:4Lo! Taifa lenye dhambi, 2 watu waliolemewa na uovu, 1 uzao wa watenda mabaya, 2 watoto waliozoelea upotovu! 1 Wamemwacha Bwana, 2 Wamemkataa kwa dharau 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli 2 na kumgeuzia kisogo. 1

Isaiah 5:25Kwa hiyo hasira ya Bwana inawaka dhidi ya watu wake, 2 mkono wake umeinuliwa na anawapiga. 1 Milima inatetemeka, 2 maiti ni kama takataka kwenye barabara. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1

Isaiah 9:21Manase atamla Efraimu, 2 naye Efraimu atamla Manase; 2 nao pamoja watakuwa kinyume na Yuda. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu.

Isaiah 10:4Hakutasalia kitu chochote, 2 isipokuwa kujikunyata miongoni mwa mateka, 2 au kuanguka miongoni mwa waliouawa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1 Hukumu Ya Mungu Juu Ya Ashuru 1

Isaiah 13:18Mishale yao itawaangusha vijana, 2 hawatakuwa na huruma kwa watoto wachanga 2 wala hawataangalia watoto kwa huruma. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 9:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 9:16Isaya 9Isaya 9:18 →