Isaiah 9:8
Bwana ametuma ujumbe dhidi ya Yakobo, 2 utamwangukia Israeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The Lord sent a word into Jacob, and it hath lighted upon Israel.
In Context
Cross References
Isaiah 7:7Lakini Bwana Mwenyezi asema hivi: 1 “ ‘Jambo hili halitatendeka, 2 halitatokea, 1
Isaiah 28:1Ole kwa lile taji la maua, kiburi cha walevi wa Efraimu, 2 kwa ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake, 1 uliowekwa kwenye kichwa cha bonde lenye rutuba: 2 kwa ule mji, kiburi cha wale walioshushwa na mvinyo! 1
Micah 1:1Neno la Bwana lilimjia Mika, Mmoreshethi, wakati wa utawala wa Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda; ufunuo aliouona kuhusu Samaria na Yerusalemu. 1
Zechariah 5:1Nikatazama tena: na hapo mbele yangu kulikuwa na kitabu kilichoruka!