The Bible Software
bible.softwareJamesJames 1 › James 1:18

James 1:18

Kwa mapenzi yake mwenyewe alituzaa kwa neno la kweli, kusudi tuwe kama mazao ya kwanza katika viumbe vyake vyote. 1 Kusikia Na Kutenda

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Of his own will begat he us with the word of truth, that we should be a kind of firstfruits of his creatures.

In Context

17Kila kitolewacho kilicho chema na kilicho kamili, hutoka juu, na hushuka kutoka kwa Baba wa mianga, ambaye kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeukageuka.

19Ndugu zangu wapendwa, fahamuni jambo hili: Kila mtu awe mwepesi wa kusikiliza, lakini asiwe mwepesi wa kusema wala wa kukasirika.

Read all of James 1

Cross References

Jeremiah 2:3Israeli alikuwa mtakatifu kwa Bwana, 2 kama malimbuko ya kwanza ya mavuno yake; 1 wote waliowaangamiza walihesabiwa kuwa na hatia, 2 nayo maafa yaliwakumba,’ ” 4 asema Bwana. 1

John 1:13Hawa ndio wasiozaliwa kwa damu, wala kwa mapenzi ya mwili au kwa mapenzi ya mtu, bali kwa mapenzi ya Mungu.

Romans 4:17Kama ilivyoandikwa: “Nimekufanya wewe kuwa baba wa mataifa mengi.” Yeye ni baba yetu mbele za Mungu, ambaye yeye alimwamini, yule Mungu anaye fufua waliokufa, na kuvitaja vile vitu ambavyo haviko kana kwamba vimekwisha kuwako. 1 Mfano Wa Imani Ya Abrahamu

Romans 9:15Kwa maana Mungu alimwambia Mose, 1 “Nitamrehemu yeye nimrehemuye, 2 na pia nitamhurumia yeye nimhurumiaye.”

Ephesians 1:12ili kwamba, sisi tuliokuwa wa kwanza kuweka tumaini katika Kristo, tupate kuishi kwa sifa ya utukufu wake.

Colossians 1:20na kwa njia yake aweze kuvipatanisha vitu vyote na yeye mwenyewe, viwe ni vitu vilivyo duniani au vilivyo mbinguni, kwa kufanya amani kwa damu yake, iliyomwagika msalabani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study James 1:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← James 1:17James 1James 1:19 →