Warumi 9:15
Kwa maana Mungu alimwambia Mose, 1 “Nitamrehemu yeye nimrehemuye, 2 na pia nitamhurumia yeye nimhurumiaye.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Tuseme nini basi? Je, Mungu ni dhalimu? La, hasha!
16Kwa hiyo haitegemei kutaka kwa mwanadamu au jitihada, bali hutegemea huruma ya Mungu.
Cross References
Exodus 34:6Bwana akapita mbele ya Mose, akitangaza, “ Bwana, Bwana, Mungu mwenye huruma na neema, asiye mwepesi wa hasira, mwingi wa upendo na uaminifu,
Micah 7:18Ni nani Mungu kama wewe, 2 ambaye anaachilia dhambi 1 na kusamehe makosa 2 ya mabaki ya urithi wake? 1 Wewe huwi na hasira milele, 2 bali unafurahia kuonyesha rehema. 1
Romans 9:18Kwa hiyo basi, Mungu humhurumia yeye atakaye kumhurumia na humfanya mgumu yeye atakaye kumfanya mgumu.