James 1:22
Basi kuweni watendaji wa Neno wala msiwe wasikiaji tu, huku mkijidanganya nafsi zenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But be ye doers of the word, and not hearers only, deceiving your own selves.
In Context
Cross References
Isaiah 44:20Hujilisha kwa majivu, moyo uliodanganyika humpotosha; 2 hawezi kujiokoa mwenyewe, au kusema, 2 “Je, kitu hiki kilichoko katika mkono wangu wa kuume si ni uongo?” 1
Matthew 7:21“Si kila mtu aniambiaye, ‘Bwana, Bwana,’ atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni, bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Matthew 28:20nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika mimi niko pamoja nanyi siku zote, hadi mwisho wa nyakati.”
Luke 11:28Yesu akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.” 1 Ishara Ya Yona (Mathayo 12:38-42)
John 13:17Sasa kwa kuwa mmejua mambo haya, heri yenu ninyi kama mkiyatenda.
1 Corinthians 3:18Msijidanganye. Kama mtu yeyote miongoni mwenu akidhani kuwa ana hekima kwa viwango vya dunia hii, inampasa awe mjinga ili apate kuwa na hekima.