The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 10 › Jeremiah 10:21

Jeremiah 10:21

Wachungaji hawana akili 2 wala hawamuulizi Bwana, 1 hivyo hawastawi 2 na kundi lao lote la kondoo limetawanyika. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the pastors are become brutish, and have not sought the LORD: therefore they shall not prosper, and all their flocks shall be scattered.

In Context

20Hema langu limeangamizwa; 2 kamba zake zote zimekatwa. 1 Wana wangu wametekwa na hawapo tena; 2 hakuna hata mmoja aliyebaki wa kusimamisha hema langu 2 wala wa kusimamisha kibanda changu. 1

22Sikilizeni! Taarifa inakuja: 2 ghasia kubwa kutoka nchi ya kaskazini! 1 Hii itafanya miji ya Yuda ukiwa, 2 makao ya mbweha. 1 Maombi Ya Yeremia 1

Read all of Jeremiah 10

Cross References

Jeremiah 2:8Makuhani hawakuuliza, 2 ‘Yuko wapi Bwana?’ 1 Wale wanaoshughulikia sheria hawakunijua mimi; 2 viongozi waliasi dhidi yangu. 1 Manabii walitabiri kwa jina la Baali, 2 wakifuata sanamu zisizofaa. 1

Jeremiah 8:9Wenye hekima wataaibika, 2 watafadhaika na kunaswa. 1 Kwa kuwa wamelikataa neno la Bwana, 2 hiyo hekima waliyo nayo ni ya namna gani? 1

Jeremiah 10:14Kila mmoja ni mjinga na hana maarifa, 2 kila sonara ameaibishwa na sanamu zake. 1 Vinyago vyake ni vya udanganyifu, 2 havina pumzi ndani yavyo. 1

Jeremiah 23:1“Ole wao wachungaji wanaoharibu na kutawanya kondoo wa malisho yangu!” asema Bwana.

Jeremiah 49:32Ngamia wao watakuwa nyara, 2 nayo makundi yao makubwa ya ngʼombe yatatekwa. 1 Wale walio maeneo ya mbali 2 nitawatawanya pande zote, 1 nami nitaleta maafa juu yao 2 kutoka kila upande,” 4 asema Bwana. 1

Ezekiel 22:25Kuna hila mbaya ya wakuu ndani yake kama simba angurumaye akirarua mawindo yake, wanakula watu, wanachukua hazina na vitu vya thamani na kuongeza idadi ya wajane ndani yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 10:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 10:20Jeremiah 10Jeremiah 10:22 →