The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 8 › Yeremia 8:9

Yeremia 8:9

Wenye hekima wataaibika, 2 watafadhaika na kunaswa. 1 Kwa kuwa wamelikataa neno la Bwana, 2 hiyo hekima waliyo nayo ni ya namna gani? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The wise men are ashamed, they are dismayed and taken: lo, they have rejected the word of the LORD; and what wisdom is in them?

In Context

8“ ‘Mwawezaje kusema, “Sisi tuna busara 2 kwa sababu tunayo sheria ya Bwana,” 1 wakati ambapo kwa hakika kalamu ya uongo ya waandishi 2 imeandika kwa udanganyifu? 1

10Kwa hiyo nitawapa watu wengine wake zao, 2 na mashamba yao kwa wamiliki wengine. 1 Kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkubwa kabisa, 2 wote wana tamaa ya kupata zaidi; 1 manabii na makuhani wanafanana, 2 wote wanafanya udanganyifu. 1

Read all of Yeremia 8

Cross References

Deuteronomy 4:6Zishikeni kwa uangalifu, kwa kuwa hii itaonyesha hekima na ufahamu wenu kwa mataifa, ambayo yatasikia kuhusu amri zote hizi, nao watasema, “Hakika taifa hili kubwa ni watu wenye hekima na ufahamu.”

Job 5:13Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao, 2 nayo mipango ya wadanganyifu huifagilia mbali. 1

Psalms 119:98Amri zako zimenipa hekima zaidi kuliko adui zangu, 2 kwa kuwa nimezishika daima. 1

Isaiah 19:11Maafisa wa Soani ni wapumbavu kabisa, 2 washauri wa Farao wenye busara wanatoa ushauri wa kijinga. 1 Unawezaje kumwambia Farao, 2 “Mimi ni mmojawapo wa watu wenye hekima, 2 mwanafunzi wa wafalme wa zamani”? 1

Jeremiah 2:8Makuhani hawakuuliza, 2 ‘Yuko wapi Bwana?’ 1 Wale wanaoshughulikia sheria hawakunijua mimi; 2 viongozi waliasi dhidi yangu. 1 Manabii walitabiri kwa jina la Baali, 2 wakifuata sanamu zisizofaa. 1

Jeremiah 6:19Sikia, ee nchi: 1 Ninaleta maafa juu ya watu hawa, 2 matunda ya mipango yao, 1 kwa sababu hawakusikiliza maneno yangu 2 na wameikataa sheria yangu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 8:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 8:8Yeremia 8Yeremia 8:10 →