Yeremia 49:32
Ngamia wao watakuwa nyara, 2 nayo makundi yao makubwa ya ngʼombe yatatekwa. 1 Wale walio maeneo ya mbali 2 nitawatawanya pande zote, 1 nami nitaleta maafa juu yao 2 kutoka kila upande,” 4 asema Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 9:25“Siku zinakuja, nitakapowaadhibu wale wote ambao wametahiriwa kimwili tu, asema Bwana,
Jeremiah 25:23Dedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali;
Ezekiel 5:10Kwa hiyo katikati yenu baba watakula watoto wao na watoto watakula baba zao. Nitawapiga kwa adhabu, nami nitawatawanya watu wenu walionusurika pande zote za dunia.
Ezekiel 12:14Wote wanaomzunguka nitawatawanya pande zote, watumishi wake na majeshi yake yote, nami nitawafuatilia kwa upanga uliofutwa.