The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 12 › Yeremia 12:13

Yeremia 12:13

Watapanda ngano lakini watavuna miiba; 2 watajitaabisha lakini hawatafaidi chochote. 1 Kwa hiyo beba aibu ya mavuno yako 2 kwa sababu ya hasira kali ya Bwana Mungu.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They have sown wheat, but shall reap thorns: they have put themselves to pain, but shall not profit: and they shall be ashamed of your revenues because of the fierce anger of the LORD.

In Context

12Juu ya miinuko yote ilivyo kama jangwani 2 mharabu atajaa, 1 kwa maana upanga wa Bwana utawala, 2 kuanzia ncha moja ya nchi hadi nyingine; 2 hakuna hata mmoja atakayekuwa salama. 1

14Hili ndilo asemalo Bwana: “Kwa habari ya majirani zangu wote wabaya wanaonyangʼanya urithi ambao ninawapa watu wangu Israeli, nitawangʼoa kutoka nchi zao, nami nitaingʼoa nyumba ya Yuda kutoka katikati yao.

Read all of Yeremia 12

Cross References

Deuteronomy 28:38Utapanda mbegu nyingi katika shamba lakini utavuna haba, kwa sababu nzige watazila.

Isaiah 30:1Bwana asema, 2 “Ole kwa watoto wakaidi, 1 kwa wale wanaotimiza mipango ambayo si yangu, 2 wakifanya makubaliano, lakini si kwa Roho wangu, 2 wakilundika dhambi juu ya dhambi, 1

Isaiah 55:2Kwa nini kutumia fedha kwa kitu ambacho si chakula, 2 na kutaabikia kitu kisichoshibisha? 1 Sikilizeni, nisikilizeni mimi na mle kilicho kizuri, 2 nazo nafsi zenu zitafurahia utajiri wa unono. 1

Jeremiah 3:25Sisi na tulale chini katika aibu yetu, 2 na fedheha yetu itufunike. 1 Tumetenda dhambi dhidi ya Bwana Mungu wetu, 2 sisi na mababa zetu; 1 tangu ujana wetu hadi leo 2 hatukumtii Bwana Mungu wetu.”

Jeremiah 25:37Makao yao ya amani yataharibiwa 2 kwa sababu ya hasira kali ya Bwana. 1

Micah 6:15Mtapanda lakini hamtavuna; 2 mtakamua zeituni lakini 2 hamtatumia mafuta yake. 1 Mtakamua zabibu 2 lakini hamtakunywa hiyo divai. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 12:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 12:12Yeremia 12Yeremia 12:14 →