Yeremia 13:15
Sikieni na mzingatie, 2 msiwe na kiburi, 2 kwa kuwa Bwana amenena. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hear ye, and give ear; be not proud: for the LORD hath spoken.
In Context
Cross References
Isaiah 1:2Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! 2 Kwa maana Bwana amesema: 1 “Nimewalisha watoto na kuwalea, 2 lakini wameniasi mimi. 1
Isaiah 42:23Ni nani miongoni mwenu atakayesikiliza hili, 2 au atakayezingatia kwa makini katika wakati ujao? 1
Joel 1:2Sikilizeni hili, enyi wazee; 2 sikilizeni, ninyi nyote mnaoishi katika nchi. 1 Je, jambo kama hili lilishawahi kutokea 2 katika siku zenu au katika siku za babu zenu? 1
Acts 4:19Lakini Petro na Yohana wakajibu, “Amueni ninyi wenyewe iwapo ni haki mbele za Mungu kuwatii ninyi kuliko kumtii Mungu.
Revelation 2:29Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa.