The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 1 › Joel 1:2

Joel 1:2

Sikilizeni hili, enyi wazee; 2 sikilizeni, ninyi nyote mnaoishi katika nchi. 1 Je, jambo kama hili lilishawahi kutokea 2 katika siku zenu au katika siku za babu zenu? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hear this, ye old men, and give ear, all ye inhabitants of the land. Hath this been in your days, or even in the days of your fathers?

In Context

1Neno la Bwana ambalo lilimjia Yoeli mwana wa Pethueli. 1 Uvamizi Wa Nzige 1

3Waelezeni watoto wenu, 2 na watoto wenu wawaambie watoto wao, 2 na watoto wao kwa kizazi kitakachofuata. 1

Read all of Joel 1

Cross References

Job 8:8“Ukaulize vizazi vilivyotangulia 2 na uone baba zao walijifunza nini, 1

Job 15:10Wale wenye mvi na wazee wako upande wetu, 2 watu ambao ni wazee hata kuliko baba yako. 1

Psalms 49:1Sikieni haya, enyi mataifa yote, 2 sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii. 1

Isaiah 34:1Njooni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize; 2 sikilizeni kwa makini, 2 enyi kabila za watu! 1 Dunia na isikie, navyo vyote vilivyo ndani yake, 2 ulimwengu na vyote vitokavyo ndani yake! 1

Jeremiah 30:7Tazama jinsi ile siku itakavyokuwa ya kutisha! 2 Hakutakuwa na nyingine mfano wake. 1 Utakuwa wakati wa dhiki kwa Yakobo, 2 lakini ataokolewa kutoka hiyo. 1

Hosea 4:1Sikieni neno la Bwana, enyi Waisraeli, 2 kwa sababu Bwana analo shtaka 2 dhidi yenu ninyi mnaoishi katika nchi: 1 “Hakuna uaminifu, hakuna upendo, 2 hakuna kumjua Mungu katika nchi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 1:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 1:1Joel 1Joel 1:3 →