Jeremiah 13:17
Lakini kama hamtasikiliza, 2 nitalia sirini 2 kwa ajili ya kiburi chenu; 1 macho yangu yatalia kwa uchungu, 2 yakitiririka machozi, 1 kwa sababu kundi la kondoo la Bwana 2 litachukuliwa mateka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 15:11“Ninasikitika kwamba nimemfanya Sauli kuwa mfalme, kwa sababu ameacha kunifuata mimi na hakutimiza maagizo yangu.” Samweli akafadhaika, naye akamlilia Bwana usiku ule wote.
Psalms 80:1Ee Mchungaji wa Israeli tusikie, 2 wewe umwongozaye Yosefu kama kundi; 1 wewe uketiye katika kiti cha enzi 2 katikati ya makerubi, angaza 2
Isaiah 63:11Ndipo watu wake wakazikumbuka siku zilizopita, 2 siku za Mose na watu wake: 1 yuko wapi yeye aliyewaleta kupitia katikati ya bahari, 2 pamoja na wachungaji wa kundi lake? 1 Yuko wapi yule aliyeweka 2 Roho wake Mtakatifu katikati yao, 1
Jeremiah 13:19Miji iliyoko Negebu itafungwa, 2 wala hapatakuwa na mtu wa kuifungua. 1 Watu wa Yuda wote watapelekwa uhamishoni, 2 wakichukuliwa kabisa waende mbali. 1
Jeremiah 17:16Sijakukimbia na kuacha kuwa mchungaji wako; 2 unajua sijaitamani siku ya kukata tamaa. 1 Kile kipitacho midomoni mwangu 2 ki wazi mbele yako. 1
Jeremiah 23:1“Ole wao wachungaji wanaoharibu na kutawanya kondoo wa malisho yangu!” asema Bwana.