The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 13 › Yeremia 13:20

Yeremia 13:20

Inua macho yako uone 2 wale wanaokuja kutoka kaskazini. 1 Liko wapi lile kundi ulilokabidhiwa, 2 kondoo wale uliojivunia? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Lift up your eyes, and behold them that come from the north: where is the flock that was given thee, thy beautiful flock?

In Context

19Miji iliyoko Negebu itafungwa, 2 wala hapatakuwa na mtu wa kuifungua. 1 Watu wa Yuda wote watapelekwa uhamishoni, 2 wakichukuliwa kabisa waende mbali. 1

21Utasema nini Bwana atakapowaweka juu yako 2 wale ulioungana nao kama marafiki wako maalum? 1 Je, hutapatwa na utungu kama mwanamke 2 aliye katika utungu wa kuzaa? 1

Read all of Yeremia 13

Cross References

Proverbs 14:28Wingi wa watu ni utukufu wa mfalme, 2 bali pasipo watu mkuu huangamia. 1

Jeremiah 1:14Bwana akaniambia, “Kutoka kaskazini maafa yatamwagwa kwa wote waishio katika nchi.

Jeremiah 10:22Sikilizeni! Taarifa inakuja: 2 ghasia kubwa kutoka nchi ya kaskazini! 1 Hii itafanya miji ya Yuda ukiwa, 2 makao ya mbweha. 1 Maombi Ya Yeremia 1

Jeremiah 23:2Kwa hiyo hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, analowaambia wachungaji wanaowachunga watu wangu: “Kwa sababu mmelitawanya kundi langu na kuwafukuzia mbali, wala hamkuwatunza, basi mimi nitawaadhibu kwa ajili ya uovu mliofanya,” asema Bwana.

Habakkuk 1:6Nitawainua Wakaldayo, 2 watu hao wakatili na wenye haraka, 1 ambao hupita dunia yote 2 kuteka mahali pa kuishi pasipo pao wenyewe. 1

John 10:12Mtu wa kuajiriwa sio mchungaji mwenye kondoo. Amwonapo mbwa mwitu akija, yeye hukimbia na kuwaacha kondoo. Naye mbwa mwitu hulishambulia kundi na kulitawanya.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 13:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 13:19Yeremia 13Yeremia 13:21 →