Proverbs 14:28
Wingi wa watu ni utukufu wa mfalme, 2 bali pasipo watu mkuu huangamia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27Kumcha Bwana ni chemchemi ya uzima, 2 ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. 1
29Mtu mwenye subira ana ufahamu mwingi, 2 bali anayekasirika haraka huonyesha upumbavu. 1
Cross References
Exodus 1:12Lakini walivyozidi kuteswa ndivyo walivyozidi kuongezeka na kuenea katika nchi; Wamisri wakawaogopa Waisraeli,
2 Samuel 24:3Lakini Yoabu akamjibu mfalme, “ Bwana Mungu wako na azidishe jeshi mara mia, nayo macho ya bwana wangu mfalme na yaone hili. Lakini kwa nini bwana wangu mfalme anataka kufanya kitu cha namna hii?”
1 Kings 20:27Baada ya Waisraeli kukusanywa na kupewa mahitaji, walikwenda kukabiliana nao. Waisraeli wakapiga kambi mkabala nao kama makundi mawili madogo ya mbuzi, wakati Waaramu walienea katika nchi yote.
2 Kings 13:7Hapakubaki kitu chochote katika jeshi la Yehoahazi isipokuwa wapanda farasi hamsini, magari kumi ya vita na askari wa miguu elfu kumi, kwa kuwa mfalme wa Aramu alikuwa amewaangamiza hao wengine na kuwafanya kama mavumbi wakati wa kupura nafaka.