The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 13 › Jeremiah 13:21

Jeremiah 13:21

Utasema nini Bwana atakapowaweka juu yako 2 wale ulioungana nao kama marafiki wako maalum? 1 Je, hutapatwa na utungu kama mwanamke 2 aliye katika utungu wa kuzaa? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

What wilt thou say when he shall punish thee? for thou hast taught them to be captains, and as chief over thee: shall not sorrows take thee, as a woman in travail?

In Context

20Inua macho yako uone 2 wale wanaokuja kutoka kaskazini. 1 Liko wapi lile kundi ulilokabidhiwa, 2 kondoo wale uliojivunia? 1

22Nawe kama ukijiuliza, 2 “Kwa nini haya yamenitokea?” 1 Ni kwa sababu ya dhambi zako nyingi 2 ndipo marinda yako yameraruliwa 2 na mwili wako umetendewa vibaya. 1

Read all of Jeremiah 13

Cross References

2 Kings 16:7Ahazi akatuma wajumbe kumwambia Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru kwamba, “Mimi ni mtumishi na mtumwa wako. Njoo na uniokoe kutoka mkononi mwa mfalme wa Aramu na wa mfalme wa Israeli, ambao wananishambulia.”

Isaiah 13:8Hofu itawakamata, 2 uchungu na maumivu makali yatawashika, 1 watagaagaa kama mwanamke aliye na utungu wa kuzaa. 1 Watatazamana kwa hofu kila mtu na mwenzake, 2 nyuso zao zikiwaka kama moto. 1

Isaiah 39:2Hezekia akawapokea wale wajumbe kwa furaha na kuwaonyesha vitu vile vilivyokuwa katika ghala zake: yaani fedha, dhahabu, vikolezo na mafuta safi, ghala la silaha lote, na kila kitu kilichokuwa katika hazina zake. Hapakuwa na kitu chochote katika jumba lake la kifalme au katika ufalme wake wote ambacho Hezekia hakuwaonyesha.

Jeremiah 5:31Manabii wanatabiri uongo, 2 makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe, 1 nao watu wangu wanapenda hivyo. 2 Lakini mtafanya nini mwisho wake?

Jeremiah 22:23Wewe uishiye Lebanoni, 2 wewe uliyetulia kwenye majengo ya mierezi, 1 tazama jinsi utakavyoomboleza 2 maumivu makali yatakapokupata, 1 maumivu kama yale ya mwanamke 2 mwenye utungu wa kuzaa!

Jeremiah 38:22Wanawake wote walioachwa katika jumba la kifalme la mfalme wa Yuda wataletwa mbele ya maafisa wa mfalme wa Babeli. Wanawake hao watakuambia: 1 “ ‘Walikupotosha na kukushinda, 2 wale rafiki zako uliowaamini. 1 Miguu yako imezama matopeni; 2 rafiki zako wamekuacha.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 13:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 13:20Jeremiah 13Jeremiah 13:22 →