Jeremiah 16:21
“Kwa hiyo nitawafundisha: 2 wakati huu nitawafundisha 2 nguvu zangu na uwezo wangu. 1 Ndipo watakapojua 2 kuwa Jina langu ndimi Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Je, watu hujitengenezea miungu yao wenyewe? 2 Naam, lakini hao si miungu!” 1
Cross References
Exodus 9:14au wakati huu nitaleta mapigo yangu yenye nguvu dhidi yako, maafisa wako na watu wako, ili upate kujua kuwa hakuna mwingine kama Mimi katika dunia yote.
Exodus 15:3Bwana ni shujaa wa vita; 2 Bwana ndilo jina lake. 1
Psalms 83:18Hebu wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni Bwana, 2 kwamba wewe peke yako ndiwe Uliye Juu Sana ya dunia yote.
Jeremiah 33:2“Hili ndilo Bwana asemalo, yeye aliyeumba dunia, Bwana aliyeifanya na kuithibitisha, Bwana ndilo jina lake:
Ezekiel 24:24Ezekieli atakuwa ishara kwenu, mtafanya kama yeye alivyofanya. Wakati jambo hili litakapotokea, mtajua kuwa Mimi ndimi Bwana Mwenyezi.’
Ezekiel 25:14Nitalipiza Edomu kisasi kwa mkono wa watu wangu Israeli, nao watawatendea Edomu sawasawa na hasira yangu na ghadhabu yangu, nao watakijua kisasi changu, asema Bwana Mwenyezi.’ ” 1 Unabii Dhidi Ya Ufilisti