Yeremia 33:2
“Hili ndilo Bwana asemalo, yeye aliyeumba dunia, Bwana aliyeifanya na kuithibitisha, Bwana ndilo jina lake:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3‘Niite nami nitakuitika na kukuambia mambo makuu na yasiyochunguzika, usiyoyajua.’
Cross References
Exodus 6:3Nilimtokea Abrahamu, Isaki na Yakobo kama Mungu Mwenyezi, + 6:3 Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote). ingawa sikuwajulisha Jina langu, Yehova, Mimi mwenyewe sikujitambulisha kwao.
Psalms 87:5Kuhusu Sayuni itasemwa hivi, 2 “Huyu na yule walizaliwa humo, 1 naye Aliye Juu Sana mwenyewe 2 atamwimarisha.” 1
Isaiah 14:32Ni jibu gani litakalotolewa 2 kwa wajumbe wa taifa hilo? 1 “ Bwana ameifanya imara Sayuni, 2 nako ndani yake watu wake walioonewa watapata kimbilio.”
Isaiah 42:8“Mimi ndimi Bwana; hilo ndilo Jina langu! 2 Sitampa mwingine utukufu wangu 2 wala sanamu sifa zangu. 1
Isaiah 43:21watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, 2 ili wapate kutangaza sifa zangu. 1
Jeremiah 10:16Yeye aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo, 2 kwani ndiye Muumba wa vitu vyote, 1 pamoja na Israeli, kabila la urithi wake: 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 1 Maangamizi Yajayo 1