Yeremia 19:8
Nitauharibu mji huu na kuufanya kitu cha kudharauliwa. Wote wapitao karibu watashangaa na kuudhihaki kwa sababu ya majeraha yake yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 9:8Ingawa hekalu hili linavutia sasa, wote watakaolipita watashangaa na kudhihaki wakisema, ‘Kwa nini Bwana amefanya kitu kama hiki katika nchi hii na kwa Hekalu hili?’
Jeremiah 9:9Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya jambo hili?” 2 asema Bwana. 1 “Je, nisijilipizie kisasi 2 kwa taifa kama hili?” 1
Jeremiah 25:18Yaani Yerusalemu na miji ya Yuda, wafalme wake na maafisa wake, kuwafanya magofu na kuwa kitu cha kuchukiza, cha dhihaka na laana, kama walivyo leo;
Jeremiah 50:13Kwa sababu ya hasira ya Bwana hatakaliwa na mtu, 2 lakini ataachwa ukiwa kabisa. 1 Wote watakaopita Babeli watatiwa hofu na kudhihaki 2 kwa sababu ya majeraha yake yote. 1
Micah 6:16Mmezishika sheria za Omri 2 na matendo yote ya nyumba ya Ahabu, 2 tena umefuata desturi zao. 1 Kwa hiyo nitakutoa kwa maangamizi 2 na watu wako kuwa dhihaka; 2 mtachukua dharau za mataifa.”