Jeremiah 2:21
Nilikupanda ukiwa mzabibu ulio bora sana, 2 mkamilifu na wa mbegu nzuri. 1 Ilikuwaje basi ukawa kinyume nami, 2 ukaharibika na kuwa mzabibu mwitu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 26:3Kaa katika nchi hii kwa kitambo, mimi nitakuwa pamoja na wewe na nitakubariki. Kwa maana nitakupa wewe na uzao wako nchi hizi zote na nitatimiza kiapo nilichomwapia Abrahamu baba yako.
Exodus 15:17Utawaingiza na kuwapandikiza 2 juu ya mlima wa urithi wako: 1 hapo mahali, Ee Bwana, ulipopafanya kuwa makao yako, 2 mahali patakatifu, Ee Bwana, ulipopajenga kwa mikono yako. 1
Deuteronomy 32:32Mzabibu wao unatoka kwenye mzabibu wa Sodoma, 2 na kutoka kwenye mashamba ya Gomora. 1 Zabibu zake zimejaa sumu, 2 na vishada vyake vimejaa uchungu. 1
Psalms 44:2Kwa mkono wako uliwafukuza mataifa 2 na ukawapanda baba zetu, 1 uliangamiza mataifa 2 na kuwastawisha baba zetu. 1
Psalms 80:9Uliandaa shamba kwa ajili yake, 2 mizizi ikawa imara, ukajaza nchi. 1
Isaiah 1:21Tazama jinsi mji uliokuwa mwaminifu 2 umekuwa kahaba! 1 Mwanzoni ulikuwa umejaa unyofu, 2 haki ilikuwa inakaa ndani yake, 2 lakini sasa ni wauaji! 1