The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 1 › Isaiah 1:21

Isaiah 1:21

Tazama jinsi mji uliokuwa mwaminifu 2 umekuwa kahaba! 1 Mwanzoni ulikuwa umejaa unyofu, 2 haki ilikuwa inakaa ndani yake, 2 lakini sasa ni wauaji! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How is the faithful city become an harlot! it was full of judgment; righteousness lodged in it; but now murderers.

In Context

20lakini kama mkikataa na kuasi, 2 mtaangamizwa kwa upanga.” 4 Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena. 1

22Fedha yenu imekuwa takataka, 2 divai yenu nzuri imechanganywa na maji. 1

Read all of Isaiah 1

Cross References

2 Chronicles 19:9Akawapa maagizo haya: “Ni lazima mtumike kwa uaminifu na kwa moyo wote katika kicho cha Bwana.

Psalms 46:4Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu, 2 mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana anaishi. 1

Psalms 48:8Kama tulivyokuwa tumesikia, 2 ndivyo tulivyoona 1 katika mji wa Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 katika mji wa Mungu wetu: 2 Mungu ataufanya uwe salama milele. 1

Isaiah 26:10Ingawa neema yaonyeshwa kwa waovu, 2 hawajifunzi haki, 1 hata katika nchi ya unyofu huendelea kutenda mabaya 2 wala hawazingatii utukufu wa Bwana. 1

Isaiah 57:3“Lakini ninyi: 2 Njooni hapa, ninyi wana wa wachawi, 2 ninyi wazao wa wazinzi na makahaba! 1

Jeremiah 3:1“Kama mtu akimpa talaka mkewe, 2 naye akamwacha na akaolewa na mtu mwingine, 1 je, huyo mume aweza kumrudia tena? 2 Je, hiyo nchi haitanajisika kabisa? 1 Lakini umeishi kama kahaba na wapenzi wengi: 2 je, sasa utanirudia tena?” 4 asema Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 1:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 1:20Isaiah 1Isaiah 1:22 →