The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 2 › Yeremia 2:27

Yeremia 2:27

Wanaiambia miti, ‘Wewe ndiwe baba yangu,’ 2 nalo jiwe, ‘Wewe ndiwe uliyenizaa.’ 1 Wamenipa visogo vyao 2 wala hawakunigeuzia nyuso zao; 1 lakini wakiwa katika taabu, wanasema, 2 ‘Njoo utuokoe!’ 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Saying to a stock, Thou art my father; and to a stone, Thou hast brought me forth: for they have turned their back unto me, and not their face: but in the time of their trouble they will say, Arise, and save us.

In Context

26“Kama vile mwizi aaibikavyo wakati amekamatwa, 2 hivyo ndivyo nyumba ya Israeli inavyoaibishwa: 1 wao wenyewe, wafalme wao na maafisa wao, 2 makuhani wao na manabii wao. 1

28Iko wapi basi ile miungu mliyojitengenezea? 2 Yenyewe na ije kama inaweza kuwaokoa 2 wakati mko katika taabu! 1 Kwa maana mna miungu mingi 2 kama mlivyo na miji, ee Yuda. 1

Read all of Yeremia 2

Cross References

2 Chronicles 29:6Baba zetu hawakuwa waaminifu, walifanya maovu machoni pa Bwana Mungu wetu na wakamwacha yeye. Wakageuza nyuso zao mbali na Maskani ya Bwana wakamgeuzia visogo vyao.

Psalms 115:4Lakini sanamu zao ni za fedha na dhahabu, 2 zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. 1

Isaiah 44:9Wote wachongao sanamu ni ubatili, 2 navyo vitu wanavyovithamini havifai kitu. 1 Wale ambao wanazitetea ni vipofu, 2 ni wajinga, nao waaibika. 1

Isaiah 46:6Wengine humwaga dhahabu kutoka kwenye mifuko yao, 2 na kupima fedha kwenye mizani; 1 huajiri mfua dhahabu kutengeneza mungu, 2 kisha huisujudia na kuiabudu. 1

Jeremiah 10:8Wote hawana akili, tena ni wapumbavu, 2 wanafundishwa na sanamu za miti zisizofaa lolote. 1

Jeremiah 22:23Wewe uishiye Lebanoni, 2 wewe uliyetulia kwenye majengo ya mierezi, 1 tazama jinsi utakavyoomboleza 2 maumivu makali yatakapokupata, 1 maumivu kama yale ya mwanamke 2 mwenye utungu wa kuzaa!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 2:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 2:26Yeremia 2Yeremia 2:28 →