The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 21 › Jeremiah 21:13

Jeremiah 21:13

Niko kinyume nawe, ee Yerusalemu, 2 wewe uishiye juu ya bonde hili 2 kwenye uwanda wa juu wa miamba, 4 asema Bwana, 1 wewe usemaye, “Ni nani awezaye kuja kinyume chetu? 2 Nani ataingia mahali pa kimbilio letu?” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, I am against thee, O inhabitant of the valley, and rock of the plain, saith the LORD; which say, Who shall come down against us? or who shall enter into our habitations?

In Context

12Ewe nyumba ya Daudi, hili ndilo Bwana asemalo: 1 “ ‘Hukumuni kwa haki kila asubuhi, 2 mwokoeni mikononi mwa mdhalimu 2 yeye aliyetekwa nyara, 1 la sivyo ghadhabu yangu italipuka 2 na kuwaka kama moto 1 kwa sababu ya uovu mlioufanya: 2 itawaka na hakuna wa kuizima. 1

14Nitawaadhibu kama istahilivyo matendo yenu, 4 asema Bwana. 1 Nitawasha moto katika misitu yenu 2 ambao utateketeza kila kitu kinachowazunguka.’ ”

Read all of Jeremiah 21

Cross References

Exodus 13:20Baada ya Waisraeli kuondoka Sukothi wakapiga kambi huko Ethamu pembeni mwa jangwa.

Psalms 125:2Kama milima inavyozunguka Yerusalemu, 2 ndivyo Bwana anavyowazunguka watu wake 2 sasa na hata milele. 1

Jeremiah 7:4Msitumainie maneno ya udanganyifu na kusema, “Hili ni Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana!”

Jeremiah 21:5Mimi mwenyewe nitapigana dhidi yenu kwa mkono wangu ulionyooshwa na mkono wa nguvu, kwa hasira na ghadhabu kali na ukali mwingi.

Jeremiah 49:4Kwa nini unajivunia mabonde yako, 2 kujivunia mabonde yako yaliyozaa sana? 1 Ee binti usiye mwaminifu, unayeutumainia utajiri wako na kusema, 2 ‘Ni nani atakayenishambulia?’ 1

Jeremiah 50:31“Tazama, niko kinyume nawe, ewe mwenye majivuno,” 2 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 1 “kwa kuwa siku yako imewadia, 2 yaani, wakati wako wa kuadhibiwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 21:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 21:12Jeremiah 21Jeremiah 21:14 →