Yeremia 49:4
Kwa nini unajivunia mabonde yako, 2 kujivunia mabonde yako yaliyozaa sana? 1 Ee binti usiye mwaminifu, unayeutumainia utajiri wako na kusema, 2 ‘Ni nani atakayenishambulia?’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 52:7“Huyu ni yule mtu ambaye 2 hakumfanya Mungu kuwa ngome yake, 1 bali alitumainia wingi wa utajiri wake, 2 na akawa hodari kwa kuwaangamiza wengine!” 1 Neema Ya Mungu 1
Proverbs 10:15Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, 2 bali ufukara ni maangamizi ya maskini. 1
Isaiah 47:7Ukasema, ‘Nitaendelea 2 kuwa malkia milele!’ 1 Lakini hukutafakari mambo haya 2 wala hukuwaza juu ya kile kingeweza kutokea. 1
Jeremiah 7:24Lakini hawakusikiliza wala kujali. Badala yake, walifuata ukaidi wa mioyo yao miovu. Walirudi nyuma badala ya kusonga mbele.
Jeremiah 21:13Niko kinyume nawe, ee Yerusalemu, 2 wewe uishiye juu ya bonde hili 2 kwenye uwanda wa juu wa miamba, 4 asema Bwana, 1 wewe usemaye, “Ni nani awezaye kuja kinyume chetu? 2 Nani ataingia mahali pa kimbilio letu?” 1
Jeremiah 49:16Vitisho vyako na kiburi cha moyo wako 2 vimekudanganya, 1 wewe unayeishi katika majabali ya miamba, 2 wewe unayedumu katika miinuko ya kilima. 1 Ujapojenga kiota chako juu sana kama cha tai, 2 nitakushusha chini kutoka huko,” 4 asema Bwana. 1