The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 23 › Yeremia 23:13

Yeremia 23:13

“Miongoni mwa manabii wa Samaria 2 nililiona jambo la kuchukiza: 1 Walitabiri kwa Baali 2 na kuwapotosha Israeli watu wangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I have seen folly in the prophets of Samaria; they prophesied in Baal, and caused my people Israel to err.

In Context

12“Kwa hiyo mapito yao yatakuwa utelezi, 2 watafukuziwa mbali gizani 2 na huko wataanguka. 1 Nitaleta maafa juu yao 2 katika mwaka wa kuadhibiwa kwao,” 4 asema Bwana. 1

14Nako miongoni mwa manabii wa Yerusalemu 2 nimeona jambo baya sana: 1 Wanafanya uzinzi 2 na kuenenda katika uongo. 1 Wanatia nguvu mikono ya watenda mabaya, 2 kwa ajili hiyo hakuna yeyote 2 anayeachana na uovu wake. 1 Wote wako kama Sodoma kwangu; 2 watu na Yerusalemu wako kama Gomora.”

Read all of Yeremia 23

Cross References

1 Kings 18:19Sasa waite watu kutoka Israeli yote tukutane nao juu ya Mlima Karmeli. Nawe uwalete hao manabii wa Baali mia nne na hamsini na hao manabii mia nne wa Ashera, walao chakula mezani mwa Yezebeli.”

1 Kings 18:25Eliya akawaambia manabii wa Baali, “Chagueni mmoja kati ya hawa mafahali na mwe wa kwanza kumwandaa, kwa kuwa ninyi mko wengi sana. Liitieni jina la mungu wenu, lakini msiwashe moto.”

2 Chronicles 33:9Lakini Manase akawaongoza Yuda na watu wa Yerusalemu katika upotovu, kiasi kwamba walifanya maovu mengi kuliko mataifa ambayo Bwana aliwaangamiza mbele ya Waisraeli.

Jeremiah 2:8Makuhani hawakuuliza, 2 ‘Yuko wapi Bwana?’ 1 Wale wanaoshughulikia sheria hawakunijua mimi; 2 viongozi waliasi dhidi yangu. 1 Manabii walitabiri kwa jina la Baali, 2 wakifuata sanamu zisizofaa. 1

Hosea 4:11katika ukahaba, 1 divai ya zamani na divai mpya, 2 ambavyo huondoa ufahamu 2

Hosea 9:7Siku za adhabu zinakuja, 2 siku za malipo zimewadia. 2 Israeli na afahamu hili. 1 Kwa sababu dhambi zenu ni nyingi sana 2 na uadui wenu ni mkubwa sana, 1 nabii anadhaniwa ni mpumbavu, 2 mtu aliyeongozwa na Mungu 2 anaonekana mwendawazimu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 23:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 23:12Yeremia 23Yeremia 23:14 →