Hosea 4:11
katika ukahaba, 1 divai ya zamani na divai mpya, 2 ambavyo huondoa ufahamu 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Whoredom and wine and new wine take away the heart.
In Context
Cross References
Proverbs 6:32Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa; 2 yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe. 1
Proverbs 23:27kwa maana kahaba ni shimo refu 2 na mwanamke mpotovu ni kisima chembamba. 1
Isaiah 5:12Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao, 2 matari, filimbi na mvinyo, 1 lakini hawayajali matendo ya Bwana, 2 wala hawana heshima kwa ajili ya kazi ya mikono yake. 1
Jeremiah 23:13“Miongoni mwa manabii wa Samaria 2 nililiona jambo la kuchukiza: 1 Walitabiri kwa Baali 2 na kuwapotosha Israeli watu wangu. 1
Hosea 5:4“Matendo yao hayawaachii 2 kurudi kwa Mungu wao. 1 Roho ya ukahaba imo ndani ya mioyo yao, 2 hawamkubali Bwana. 1
Luke 21:34“Jihadharini mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na fadhaa za maisha haya, nayo siku ile ikawakuta ninyi bila kutazamia kama vile mtego unasavyo.