Jeremiah 23:21
Mimi sikuwatuma manabii hawa, 2 lakini bado wamekimbia wakitangaza ujumbe wao. 1 Mimi sikusema nao, 2 lakini wametabiri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I have not sent these prophets, yet they ran: I have not spoken to them, yet they prophesied.
In Context
Cross References
Isaiah 6:8Kisha nikasikia sauti ya Bwana ikisema, “Nimtume nani? Ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu?” Nami nikasema, “Mimi hapa. Nitume mimi!”
Jeremiah 23:32Kweli, niko kinyume na hao wanaotabiri ndoto za uongo,” asema Bwana. “Wanazisimulia na kuwapotosha watu wangu kwa uongo wao bila kujali, lakini sikuwatuma wala sikuwaamuru. Hawawafaidi watu hawa hata kidogo,” asema Bwana. 1 Maneno Ya Uongo Na Manabii Wa Uongo
Jeremiah 28:15Kisha nabii Yeremia akamwambia nabii Hanania, “Sikiliza Hanania! Bwana hajakutuma, lakini wewe umelishawishi taifa hili kuamini uongo.
Jeremiah 29:31“Tuma ujumbe huu kwa watu wote walio uhamishoni: ‘Hili ndilo Bwana asemalo kuhusu Shemaya Mnehelami: Kwa sababu Shemaya amewatabiria ninyi, hata ingawa sikumtuma, naye amewafanya kuamini uongo,
Acts 13:4Hivyo, wakiwa wametumwa na Roho Mtakatifu, wakashuka kwenda Seleukia na kutoka huko wakasafiri baharini mpaka kisiwa cha Kipro.