The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 23 › Yeremia 23:32

Yeremia 23:32

Kweli, niko kinyume na hao wanaotabiri ndoto za uongo,” asema Bwana. “Wanazisimulia na kuwapotosha watu wangu kwa uongo wao bila kujali, lakini sikuwatuma wala sikuwaamuru. Hawawafaidi watu hawa hata kidogo,” asema Bwana. 1 Maneno Ya Uongo Na Manabii Wa Uongo

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, I am against them that prophesy false dreams, saith the LORD, and do tell them, and cause my people to err by their lies, and by their lightness; yet I sent them not, nor commanded them: therefore they shall not profit this people at all, saith the LORD.

In Context

31“Naam, mimi niko kinyume na manabii wanaotikisa ndimi zao wenyewe na kusema, ‘ Bwana asema.’

33“Wakati watu hawa, au nabii, au kuhani watakapokuuliza, ‘Mzigo wa Bwana ni nini?’ wewe utawaambia, ‘Ninyi ndio mzigo. Nami nitawavua kama vazi, asema Bwana.’

Read all of Yeremia 23

Cross References

Deuteronomy 13:1Kama nabii, au yule anayetabiri kwa njia ya ndoto, akijitokeza miongoni mwenu na akawatangazia ishara ya miujiza na ajabu,

Isaiah 3:12Vijana wanawatesa watu wangu, 2 wanawake wanawatawala. 1 Enyi watu wangu, viongozi wenu wanawapotosha, 2 wanawapoteza njia. 1

Jeremiah 23:13“Miongoni mwa manabii wa Samaria 2 nililiona jambo la kuchukiza: 1 Walitabiri kwa Baali 2 na kuwapotosha Israeli watu wangu. 1

Jeremiah 23:21Mimi sikuwatuma manabii hawa, 2 lakini bado wamekimbia wakitangaza ujumbe wao. 1 Mimi sikusema nao, 2 lakini wametabiri. 1

Jeremiah 27:14Msiyasikilize maneno ya manabii wanaowaambia kwamba, ‘Hamtamtumikia mfalme wa Babeli,’ kwa sababu wanawatabiria uongo.

Jeremiah 29:21Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo kuhusu Ahabu mwana wa Kolaya, na Sedekia mwana wa Maaseya, wanaowatabiria uongo kwa jina langu: “Nitawatia mikononi mwa Nebukadneza mfalme wa Babeli, naye atawaua mbele ya macho yenu hasa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 23:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 23:31Yeremia 23Yeremia 23:33 →